KAMA UNA MOYO MWEPESI USISOME STORY HII,
WENGI WAMELIA SANA !!
“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu
aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na
kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu
alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari
kunisikiliza. Tena nikagundua macho yake yalionyesha
anaumizwa. Nilishindwa hata namna ya kuanza
kufumbua kinywa changu. Lakini ilibidi...