MOUNTAIN RUNNER GAUDENCE
Ni wa pili Tanzania
Ni wa pili Africa
Ni wa nne Duniani
Mountain runner Gaudence akisaini kuingia ndani ya hifadhi ya mlima kilimanjari kwenye lango la Umbwe Route
Kumbuka kuupanda mlima kilimanjaro minimum ni siku tano na maximum ni kuanzia siku 6 hata 7 hadi mpaka 12 na kuendelea kupanda na kushuka. Gaudence alipanda na kushuka mlima kilimanjaro kwa masaa 10 na sekunde 25 kwa kupitia njia ngumu kuliko zote Umbwe route na kushukia Mweka na ameweka rekodi ya kua mtu wa pili tanzania, na mtu wa pili afrika na mtu wa nne kidunia ni jambo zuri na ni historia nzuri katika nchi yetu je nani anaijua? Ni wachache sana wanaolifahamu hilo, Gaudence bado ana ndoto za kurudi tena ili apate nafasi ya chini kabisa kidunia, nawashukuru Activeferien na leopard tour kwa kumsurpot na wadau wote bila kumsahau Nick C mtangazaji wa kipindi cha michezo kili Fm kwa kushirikiana nasi. Tanzania nawakumbusha kuwasaidia vijana wanaoitangaza nchi yetu kimataifa.
SHUKRANI KWA WOTE WALIOMSAIDIA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUTIMIZA NDOTO YAKE
Gaudence akiwa na Nick C ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha michezo Kili Fm Redio
Gaudence akiwa ameketi faragha na Activeferien Team
na Leopard tour wakiongozwa na Evarest Lyamuya
Gaudence upande wa kulia na mdogo wake kushoto
wakati anashiriki mashindano ya
Kili Fm Marathon
Team ya Activeferien Campany wakiwemo baadhi ya wapagazi
chini ya Full Route Guide Calvin wakiwa tayari kutangulia kwenye baadhi ya vituo vya mlima kilimanjaro
0 Comment to "MOUNTAIN RUNNER GAUDENCE Ni wa pili Tanzania Ni wa pili Africa Ni wa nne Duniani"
Post a Comment