Na C. P Lekule
CCM Majangili Wa Demokrasia
Ila muungano wa wanaokemea yaliyopo unaweza kutuweka huru tusimame kwenye ukweli hadi kufa.
Viongozi wa dini tanzania wengi ni wanafiki sana taifa likiwa kwenye magumu kama yaliyopo sasa hawatoi neno, MUNGU sema neno juu ya hawa watu wajue wajibu wao kwani wamejisahau sana, ila sadaka mbali mbali hawazisahau, wanajitoa ufahamu kwenye swala analofanya Raisi wa Tanzania, hawajali wanapalilia vita kali, kwa mwavuli wa amani wanafikiri hawawezi sema jambo juu ya uvunjwaji wa demokrasia unaotokea, kila siku nakaa chumbani natoa chozi hawa viongozi wa madhehebu mbali mbali wanaokaa kimya ilihali wanafahamu wajibu wao waangamie kwa namna yoyote Mungu atakavyoona inafaa, kwanzia uchaguzi kuisha niliwalaumu viongozi wa dini kutoa pongezi eti wamepata kiongozi ambaye ni chaguo la Mungu, wengi mlinifuata inbox na kunionya nisizungumze kuhusu viongozi wa dini ila sikuwajibu kitu niliwaacha mwisho wa siku mliniomba msamaha wenyewe, sasa leo tena nainuka kuwalaumu na kuwavika tatizo la taifa hili, msipo zungumza jambo mkangoja kuja kwenye misiba mkijifanya wanyenyekevu eti na mnahuruma litawapata jambo kwa unafiki wenu, wananchi wa kawaida wanapambana kuleta haki na usawa nyie mmekaa makanisani, misikitini kwanini, kwanini mnatusihi uoga ni dhambi ilihali nyie ni waoga? Aliuwawa Mawazo hamkuona nae ni binadamu, wameteswa wengi mmekaa kimya, leo linaandaliwa la kuuwawa Malim Seif hamzungumzi, ila kwenye maandiko mnatuambia neno hugeuka mwili kivipi? Nawasifu sana watandania wazalendo wa nchi hii wanaokemea maovu waziwazi, kwa mfano mimi ningekua nampango wa kutawala
ningewaadhibu viongozi wa dini na kuwaburuza mahakamani, nafuatia wanasheria uchwara wote nafuta uanasheria wao ambao umeifikisha tanzania hapa waanze kusoma upya nafuatia kwa maprofesa hewa, madokta hewa wanaitwa madokta au maprofesa lakini akili hazitendi kwendana na hadhi walizonazo, nakuja Phd hewa vivyo hivyo, Naanza kua na mashaka na vyuo pia vinavyotoa hadhi ya Pr, Dk na phd nao ningewaandama sana, nisiseme mengi nchi hii majangili wa demokrasia wamekua wengi sana, na wanapikwa na serekali ya awamu ya tano.
Categories
Powered by Blogger.
Channels
Formulir Kontak
Blog Archive
-
▼
2016
(70)
-
▼
October
(8)
- TAMKO LA KUDHALILISHWA KWA MASHEIKH WANAOTUHUMIWA ...
- TAMKO LA KUDHALILISHWA KWA MASHEIKH WANAOTUHUMIWA ...
- TAMKO LA KUDHALILISHWA KWA MASHEIKH WANAOTUHUMIWA ...
- Calvin lekule-Saying about life
- Calvin Lekule-Saying about life
- MOUNTAIN RUNNER GAUDENCE Ni wa pili Tanzania Ni wa...
- CCM Majangili Wa Demokrasia
- Maembe
-
▼
October
(8)
Label
Comments
Popular Posts
-
https://youtu.be/WagER5fWTNc
-
Sio mabaya ila yana walakini,fikiria kuondolewa kwa jina 1995 Lowasa akiw a ndani ya CCM 2015 jina likakatwa na je uwezo wa Asha Rose M...
-
HIVI NDIVYO WANASIASA WANAVYOFANYA NA BAADAYE WANAJINADI KIWA WANATOA MISAADA KWA JAMII. HIVI HUU NI MSAADA AU MATUSI HAYA. IKITOKEA M...
Ads
Random Posts
Pages - Menu
Newsletter
Monday, October 24, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Recent
Weekly
-
https://youtu.be/WagER5fWTNc
-
Sio mabaya ila yana walakini,fikiria kuondolewa kwa jina 1995 Lowasa akiw a ndani ya CCM 2015 jina likakatwa na je uwezo wa Asha Rose M...
-
HIVI NDIVYO WANASIASA WANAVYOFANYA NA BAADAYE WANAJINADI KIWA WANATOA MISAADA KWA JAMII. HIVI HUU NI MSAADA AU MATUSI HAYA. IKITOKEA M...
0 Comment to "CCM Majangili Wa Demokrasia"
Post a Comment