Monday, September 7, 2015

Hivi vitendo hivi vinavyo fanywa na hawa polisi serikali wanaviona??? hawa raia ambao wamesalimu amri sijui kwa kosa gani na wanaelekea wenyewe kenye gari wanapigika namna hii?? imani gani tutakuwa nayo kwa jeshi letu hili la polisi kwa hali hii... PAZA SAUTI, share video hii kupinga mambo haya, NO BODY IS ABOVE THE LAW.

Hivi vitendo hivi vinavyo fanywa na hawa polisi serikali wanaviona???

Share this

Artikel Terkait

0 Comment to "Hivi vitendo hivi vinavyo fanywa na hawa polisi serikali wanaviona??? hawa raia ambao wamesalimu amri sijui kwa kosa gani na wanaelekea wenyewe kenye gari wanapigika namna hii?? imani gani tutakuwa nayo kwa jeshi letu hili la polisi kwa hali hii... PAZA SAUTI, share video hii kupinga mambo haya, NO BODY IS ABOVE THE LAW. "

Post a Comment