Wednesday, September 2, 2015

HADITHI YA KUSISIMUA My Dream Safari 2060





Miaka 10 ya ndoa yetu siku moja niliingia
nyumbani nikamkuta mke wangu akiniandalia
chakula cha usiku. Nilimshika mkono na
kumwambia: “Nina jambo ninalotaka
kukueleza.” Alikaa na kunisikiliza kwa makini.
Dalili za wasiwasi nilikuwa nikizishuhudia machoni mwake. Ghafla nilijikuta katika hali ya kushindwa
kukifungua kinywa changu. Lakini ilikuwa ni
lazima ajue ninachokifikiria, hivyo nilipiga moyo
konde, nikamwambia kwa upole: “Ninataka
tuachane.” Hakuonekana kuudhika kwa hoja
niliyokuwa nimeiwasilisha mbele yake, bali aliniuliza kwa sauti ya upole kabisa: “Kwa nini?” Nilijaribu kulikwepa hilo swali, hivyo......... INAENDELEA HAPA

Share this

0 Comment to "HADITHI YA KUSISIMUA My Dream Safari 2060"

Post a Comment