Saturday, September 5, 2015

Fikiri mara mbili-Maneno ya nyerere.

2015 jina likakatwa na je uwezo wa Asha Rose Migiro na alieteuliwa kugombea nafasi ya makamu wa raisi mama.............. hivi nani kati ya hao nani anakubalika kwa wananchi? halafu shwali langu haliishii hapa je Asha Rose Migiro si wa Kaskazini? Je nae alikatwa kuhakikisha kaskazini haihusiki kwenye cheo kikubwa na je aliyeijenga chuki kaskazini ni nani? na je sio kwamba ndio watendaji wazuri na wanaogopwa? au ni watendaji wabaya? Fikiri mara mbili bila kujadili udini wala ukabila ni maswali aliyoniuliza mzee SATA WAGIZI sijamjibu mpaka leo.

Share this

0 Comment to "Fikiri mara mbili-Maneno ya nyerere."

Post a Comment