Saturday, September 26, 2015

SIRI NZITO YA TAREHE YA KUZALIWA MTU WA WATU EDWARD LOWASA. Jina lake ni chimbuko ukoo wa kifalme wa uingereza. Dola ambayo vita kuu ya I ya dunia lilitawala Tanganyika chini ya umoja wa mataifa. wakati Edward lowasa akizaliwa sir Edward Twing-ing alikuwa ana miaka minne tangu aje Tanzania kama Gavana. Jina la Edward lina maana ya WEALTHY GUARDIAN kwa kimombo kwa tafsiri ya kiswahili...

Thursday, September 24, 2015

Change is Inevitable

I have always been a believer that however strong you may be or however intelligent you are (which this person im going to talk about is not) you will need a good advisers or a team of good advisers but the display that was shown by our "Presidential Candidate" was just outright stupidity i mean did his advisers came up to him and said Adviser : Hey boss we have found a great way...

Tuesday, September 22, 2015

MIKAKATA 10 YA CCM KUKAMILISHA BAO LA MKONO

MIKAKATI 10 YA CCM GOLI LA MKONO. 1.BVR-wamepeleka watu Kenya kwenda kujifunza kucheza na BVR ili kufanikisha Goli la MKONO, timu hii inazaidi ya wiki 2 sasa. 2. ACT - Kwanza wanapatiwa Fedha na familia ya Mkt wa CCM Taifa Kupitia kwa Zitto hivyo mawakala wa ACT ni Sehemu ya CCM , sehemu hizo zinazoendelea na mkakati huu ni kigoma mjini, Songea Mjini, kahama Mjini, kibamba...

Saturday, September 19, 2015

Friday, September 18, 2015

Mabalozi mbaroni kwa kutekeleza bao la mkono

POLISI mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa makosa mawili tofauti ikiwamo ya kukutwa wakiandikisha namba za kadi za wapiga kura na kuchana mabango ya mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa. Watuhumiwa hao baadhi yao ni mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walikamatwa...

MBINU ZA KUMUUA MBATIA ZAFICHULIWA,NCCR WADAI WAMEPATA MKANDA MZIMA,WASEMA YA DK MVUNGI YANAMYEMELEA MBATIA,SOMA HAPO KUJUA

MBINU ZA KUMUUA MBATIA ZAFICHULIWA,NCCR WADAI WAMEPATA MKANDA MZIMA,WASEMA YA DK MVUNGI YANAMYEMELEA MBATIA,SOMA HAPO KUJUA Pichani ni  Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini NCCR Mohamed Tibanyenderaakizungumza na waandishi wa habarileo jijini Dar es Salaam CHAMA...

Thursday, September 17, 2015

Je haya ni ya kweli kuhusu CCM?

Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo; 1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa). 2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea...

Wednesday, September 16, 2015

THIS IS UNFAIR-HUU NDIO UKWELI WA HASIRA YANGU

USIWE MVIVU KUSOMA KAMA AKILI ZAKO ZIPO TIMAMU UTANIELEWA ILA KAMA ZIMEPUNGUA UTABISHANA NA UKWELI HUU Tanzania got it's Independence on 1961 and Kenya got theirs on 1963..  Kenya is already a Second World Country while Tanzania is still on the list of Poorest countries..  Fact_1 Pato la Mtanzania kwa mwaka ni Tshs. 1,996,000 na Pato la Mkenya kwa mwaka ni Tshs. 3,176,000..  Pato...

Wafanyakazi Serena wafukuzwa kazi baada ya kutoboa siri ya DK. SLAA

Kama mnavyokumbuka mwezi huu tarehe 1 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa aliitisha kikao cha waandishi wa habari pale Serena Hotel, ambapo mkutano huo ulirushwa LIVE na vituo vya televisheni vipatavyo vitano na radio kadhaa nazo zikarusha mkutano huo moja kwa moja.Katika...

Tuesday, September 15, 2015

Art of Seduction

1. CHOOSE THE RIGHT VICTIM Everything depends on the target of your seduction. Study your prey thoroughly, and choose only those who will prove susceptible to your charms. The right victims are those for whom you can fill a void, who see in you something exotic. They are often isolated or unhappy, or can easily be made so- for the completely contented person is almost impossible...

Monday, September 14, 2015

Sunday, September 13, 2015

Art of Seduction

1. CHOOSE THE RIGHT VICTIM   Everything depends on the target of your seduction. Study your prey thoroughly, and choose only those who will prove susceptible to your charms. The right victims are those for whom you can fill a void, who see in you something exotic. They are often isolated or unhappy, or can easily be made so- for the completely contented person is almost...

Plan A.B& C ya CCM

Jamani hali ni mbaya sana ccm...kwa mujibu wa kikao cha usalama ndani ya ccm kilichokaa jana kidogo kivunjike kutokana na watu kulaumiana na wengine kushikana mashati...baada ya ripot kutoka kuwa kwa miujibu wa takwimu uchaguzi ukifanyika leo lowassa lazima ashinde kwa asilimia 70 huku magufuli akiambulia 13...kikubwa kilichojadiliwa ni baadhi ya wanamipango kushindwa kutumia 150...

Saturday, September 12, 2015

Friday, September 11, 2015

Wednesday, September 9, 2015

Tuesday, September 8, 2015

Monday, September 7, 2015

ROBOT

...

"We nani?!" Katika moja ya presentation styles kabambe kabisa, mtoto wa mwalimu Nyerere, Makongoro - kipindi hicho wakati akitafuta tiketi ya uraisi CCM - anafafanua kwa nini hata Magufuli alisema ilani yake ni ilani ya chama. Msikilize kwa makini. Halafu kuanzia dakika ya 2:38 anatoa comedy show moja kali sana. Nimeipenda presentation style yake ya anaelezea historia yake huku akiburudisha hadhira kwa kumpiga madongo ya kiutu uzima mshindani wake.

"We nani?!" Katika moja ya presentation styles kabambe kabisa, mtoto wa mwalimu Nyerere, Makongoro - kipindi hicho wakati akitafuta tiketi ya uraisi CCM - anafafanua kwa nini hata Magufuli alisema ilani yake ni ilani ya chama. Msikilize kwa makini. Halafu kuanzia dakika ya 2:38 anatoa comedy show moja kali sana. Nimeipenda presentation style yake ya anaelezea historia yake...