Tuesday, June 12, 2018

Thursday, May 3, 2018

Neno Kilimanjaro

Ugunduzi Wa neno Kilimanjaro
Baada ya ufuatiliaji ya mda mrefu kuhusu neno Kilimanjaro nimegundua kua neno kilimanjaro ni muunganiko Wa neno la kiswahili na kichagga ambapo neno la kiswahili lilitajwa kwa lafudhi ya kichagga neno hilo ni Kilima-Chyaro hii r inakidoti chini hivyo katika matamshi maana kubwa ilikua ni mtu yuko kwa mbali akiuona mlima alioshindwa kuutambua kwani kila baridi ilipoongezeka seluji nayo iliongezeka na kuufanya mlima kuonekana mrefu hivyo ikapelekea mtu kusema kilima-kyaro, kyaro maana yake kinaota au kinarefuka au kinazidi kukua yaani Kilima kinaota mzungu akashindwa kutamka na kusema Kilimanjaro by C.P Lekule

Tuesday, April 10, 2018

Sunday, March 18, 2018

Calvin Lekule-Saying about life


Uwepo Wa mtu mrefu na umuhimu wake ni kwasababu ya mtu mfupi.

Uwepo Wa tajiri unapimwa na uwepo Wa masikini.

Faida ukiilinganisha na faida bado hujapata jibu mpaka awepo hasara.

Ukitaka mfupi aishi kama mrefu unamuumiza mfupi 80% na mrefu, 20% na wewe uliyetaka iwe unakua mfupi 100%

Ukitaka tajiri aishi kama masikini unamuumiza masikini 80% na tajiri 20% na wewe uliyetaka iwe unakua masikini 100%

Ukitaka malaika aishi kama shetani unawafanya wote hawa wawe mashetani 100% na wewe unaetaka wawe hivyo unakua shetani 100%.

Wednesday, January 17, 2018