Ugunduzi Wa neno Kilimanjaro
Baada ya ufuatiliaji ya mda mrefu kuhusu neno Kilimanjaro nimegundua kua neno kilimanjaro ni muunganiko Wa neno la kiswahili na kichagga ambapo neno la kiswahili lilitajwa kwa lafudhi ya kichagga neno hilo ni Kilima-Chyaro hii r inakidoti chini hivyo katika matamshi maana kubwa ilikua ni mtu yuko kwa mbali akiuona mlima alioshindwa kuutambua kwani kila baridi ilipoongezeka seluji nayo iliongezeka na kuufanya mlima kuonekana mrefu hivyo ikapelekea mtu kusema kilima-kyaro, kyaro maana yake kinaota au kinarefuka au kinazidi kukua yaani Kilima kinaota mzungu akashindwa kutamka na kusema Kilimanjaro by C.P Lekule
Categories
Powered by Blogger.
Channels
Formulir Kontak
Label
Comments
Popular Posts
-
https://youtu.be/WagER5fWTNc
-
Mpumbavu ni mtu anaeujua ukweli anauona na kuusikia ukweli ila bado anaambatana na uongo na kuuamini uongo.
-
Kama kila wazo linaloletwa kwako ni sahihi hulipunguzi wala kuliongeza, akili yako inazidiwa na Punda.
-
KUTOKA KWA CP Lekule KWENDA KWA ;_Waziri wa utalii Mh.Jumanne Magembe YAH;KAZI ZA MSIMU HASA GUIDE NA POTER MLIMA KILIM...
Ads
Random Posts
Pages - Menu
Newsletter
Thursday, May 3, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Recent
Weekly
-
https://youtu.be/WagER5fWTNc
-
Mpumbavu ni mtu anaeujua ukweli anauona na kuusikia ukweli ila bado anaambatana na uongo na kuuamini uongo.
-
Kama kila wazo linaloletwa kwako ni sahihi hulipunguzi wala kuliongeza, akili yako inazidiwa na Punda.
-
KUTOKA KWA CP Lekule KWENDA KWA ;_Waziri wa utalii Mh.Jumanne Magembe YAH;KAZI ZA MSIMU HASA GUIDE NA POTER MLIMA KILIM...
0 Comment to "Neno Kilimanjaro"
Post a Comment