Saturday, September 26, 2015

SIRI NZITO YA TAREHE YA KUZALIWA MTU WA WATU EDWARD LOWASA.

Jina lake ni chimbuko ukoo wa kifalme wa uingereza. Dola ambayo vita kuu ya I ya dunia lilitawala Tanganyika chini ya umoja wa mataifa. wakati Edward lowasa akizaliwa sir Edward Twing-ing alikuwa ana miaka minne tangu aje Tanzania kama Gavana. Jina la Edward lina maana ya WEALTHY GUARDIAN kwa kimombo kwa tafsiri ya kiswahili cha huku machakani Basi huyu ni Mlezi au Kiongozi aliyejaliwa utajiri wa watu...

TAREHE YAKE YA KUZALIWA YABEBA SIRI NZITO.

Tarehe ya kuzaliwa mhe. Edward lowasa yabeba ujumbe mzito.
Wadadisi wa Maandiko ya Kikristo Wanatuambia kuwa namba zina maana pana zaidi ya kuonyesha idadi ya vitu au kiasi. Waingereza wanasema ``Numbers are beyond numerical value''
Ili tuweze kuelewa dhana hii hebu tuchukulie mfano wa namba SABA. Katika biblia namba hii inamaanisha UKAMILIFU (fullness)
Twende taratibu katika injili ya Mathayo 18:22. Petro anamuuliza Yesu ndugu akinikosea nimsamehe mara saba (7)? Yesu akamjibu Sikwambii mara saba bali hata mara sabini (70). kimsingi hakuwa anamaanisha asamehe mara 490, bali asamehe kikamilifu tena mara zote. Kwa jinsi hiyo sasa tukubaliane kwa kibiblia namba ni zaidi ya idadi ndugu!!
Mhe. Edward lowasa aliteuliwa kugombea urais tiketi ya ukawa kupitia chama cha chadema.
Mhe. Edward Lowasa alizaliwa tarehe 26/08/53. Unaweza kuona kwa ujumla wa Tarakimu za Siku, Mwezi, Mwaka ni Nane (8).
Haya Twende: Tarehe ya kuzaliwa 26 ambayo (2+6=8), Mwezi wa 08 ambao(0+8=8), Mwaka 53 ambao(5+3=8). Isitoshe mwezi nane (8) mwaka huu Edward lowasa katimiza miaka 62. (6+2=8)pia ukichukua mwezi huu wa nane na miaka anayotimiza ukijumlisha unapata ni yale yale Nane (8).
MAANA YA NAMBA NANE (8) KIBIBLIA NI÷
Katika biblia nane inamaanisha Mwanzo mpya. Mifano ni Mingi Tunasoma katika Biblia kuwa Mungu aliumba Mbingu na Nchi kwa Siku Sita ya Saba akapumzika, Kwahyo Siku ya Nane ni MWANZO MPYA!!!!
Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya juma. Tunajua kuwa juma lina siku Saba(7), Basi siku ya Kwanza ya juma ni siku ya Nane (8).MWANZO MPYA .

Watoto wa kiume walitahiriwa siku ya Nane(8). Katika agano jipya, Tohara ya moyoni ni kumpokea Roho mtakatifu na kuwa kiumbe kipya, kuzaliwa mara ya pili yaani MWANZO MPYA!! (Rum 2:28-29, kol 2:11-13, 2k or 5:17).
Yesu alisema maneno Saba (7) Msalabani neno la saba likiwa ''Imekwisha'' Akakata roho. Kwahiyo neno la Nane ( 8 ) Alilisema baada ya kufufuka yaani, Alipoanza MWANZO MPYA!!.
Je, Umesahau kuwa Mungu Aliokoa watu Nane (8) Katika Safina ya Nuhu ili Aanze MWANZO MPYA wa dunia ya Watu Baada ya Gharika?
Je, Mwaka 2015 ni Mwaka gani wa Watanzania? (2+0+1+5=8) Ni Mwaka wa Mwanzo Mpya?
Je, Mwaka 2015 ni MWANZO MPYA wa Mhe.Edward lowasa Kuongoza Tanzania Mpya, yenye Chama kipya, na Mabadiliko Mapya.

Tukiondoka kwenye maandiko ya kikristo, Pia watalamu wa elimu ya namba (numerology) nao hawajatuacha. Wanatuambia kuwa namba 8 ina nguvu kubwa zaidi kwani inawakilisha mamlaka,Biashara, Pesa, na fani (Authority, Business, Finance and Career).(www.numerology.com/numberology-number/8).

Ngoja mtaalam michael kombe a.k.a Mayor Nikupe Zawadi nyingine maana umesoma sana ujumbe wangu kwa muda mwingi sana.

Mwalimu Julius Nyerere Alizaliwa Tarehe 13/04/22 Sasa angalia Jumla ya hizi Namba.
Mwl. julius Nyerere alizaliwa 13/04/22 Haya Twende. Tarehe ya kuzaliwa 13 (1+3=4), Mwezi 04 (0+4=4), Mwaka 22 (2+2=4).

Je, Unajua maana ya Nambari nne (4)? Nambari nne huwakilisha kutotetereka vilevile huonyesha msingi madhubuti (Stability and Strong Foundation). Je dhana hizi zinahusiana vipi na sifa aliyokuwa nayo baba wa Taifa?
Kuhusu Nelson Mandela, Tarehe yake ya kuzaliwa na sifa alizokuwa nazo ndo utajua tarehe hiyo ya kuzaliwa viongozi hawa zina siri nzito mno!!! Mtaalam naacha kama ``Home Work".

Politicts whatsapp 0767679627

Thursday, September 24, 2015

Change is Inevitable

I have always been a believer that however strong you may be or however intelligent you are (which this person im going to talk about is not) you will need a good advisers or a team of good advisers but the display that was shown by our "Presidential Candidate" was just outright stupidity i mean did his advisers came up to him and said

Adviser : Hey boss we have found a great way to beat our competitors why don't we do push ups and seats up in public ?

M : Thats a very great idea lets do that.

Again i believe a great leader comes with the brain and not fists or strength, Tanzania doesn't need manguvu tunaitaji mtu who can think and point this sinking ship to the right direction about being in a bad health we have witnessed people who have done wonders even thought some parts of their bodies was failing on them E.g president Franklin D. Roosevelt who lead the United States during a time of worldwide economic depression and World War 2 and eventually putting US as one of the strongest countries in the world and he did all this when he was in his wheelchair. With Roosevelt during the war, unemployment dropped to 2%, and the industrial economy grew rapidly to new heights as millions of people moved to wartime factory jobs or entered military service. he died three months into his fourth term. He is often rated as one of the top three U.S. Presidents, along with Abraham Lincoln and George Washington.

Im just saying at the end of the day lets not just choose a leader because he can do push ups or seat ups but what he really got in his head and i honestly believe we can find that in Lowassa, he displayed that ability when he solved the school problems by introducing "Shule za Kata" which have helped hundred and thousands of students in Tanzania and he did all that when he was in power for a short period.

Change will never come in Tanzania if we will always be in fear of making a mistake we are humans and we always make mistakes and we learn from them and we keep moving, Lowassa might be a mistake but what if he is a Good Mistake ? People please lets not make the same mistakes we have been making all these years, i hear so many voices screaming to be heard and nothing nothing is being done to help them, there is so much to change in this country (Tanesco being one of them) so many opportunities to make it a great country but it will only be done if we get out of thinking like our Fathers and Grandfathers and start to think like the generation of tomorrow.

Tuesday, September 22, 2015

MIKAKATA 10 YA CCM KUKAMILISHA BAO LA MKONO


MIKAKATI 10 YA CCM GOLI LA MKONO.
1.BVR-wamepeleka watu Kenya kwenda kujifunza kucheza na BVR ili kufanikisha Goli la MKONO, timu hii inazaidi ya wiki 2 sasa.
2. ACT - Kwanza wanapatiwa Fedha na familia ya Mkt wa CCM Taifa Kupitia kwa Zitto hivyo mawakala wa ACT ni Sehemu ya CCM , sehemu hizo zinazoendelea na mkakati huu ni kigoma mjini, Songea Mjini, kahama Mjini, kibamba na Kinondoni.
3.Wanataka kulazimisha matokeo yasomwe na Tume hata kama wameshindwa, watashinikiza jeshi la Polisi wapige mabomu siku tatu mfululizo kujenga hofu kwa wananchi.
4. Wana mkakati wa kuongea na Jeshi la Wananchi JWTZ liwasaidie kumbuka ya Ngurdoto Arusha- Jeshi la wananchi limekataa uchafu huu na lazima tulipongeze kwa nidhamu na UZALENDO .
5. Wanahonga walimu Sh. 100,000 kila mmoja ili wawasaidie katika Goli la MKONO, hasa kibamba (badala ya kutatua malimbikizo ya mishahara na Posho za likizo).
6.Uchafuzi wa katika mitandao - hapa wa nawatumia Twaweza, REDET, wasanii walio jaa njaa na wanao jipendekeza na Ma bloggers, mpango huu upo chini ya January, Rugge na Kelvin Twissa chini ya Mradi uitwao Nimestuka .
7.Wanataka kuwajua mawakala wa UKAWA ili wawatishe, wawarubuni na kuwabughudhi ili waibe kura au kuwauwa hii Kambi yake ipo TABORA na Ndio.
8. Kusimamisha au kukwamisha majimbo kadhaa yasifanye uchaguzi ili waweze kufanya baadae ili waweze kuiba hasa sehemu walizo zidiwa sana.
9. Wanataka kuwazuia wanafunzi wasipige kura.
10. Wanataka kumdhuru Mh Edward Lowassa kwa namna yeyote ile - hii ipo chini ya Bulembo, Mangula na Kassesera.
Haya yote juu yanafanyika chini ya interest ya Familia ya Jk ambayo ina hali mbaya kuona Lowassa anashinda.
Bulembo anajua Taarifa hizi tulipo zipata