Tuesday, June 12, 2018

Thursday, May 3, 2018

Neno Kilimanjaro

Ugunduzi Wa neno Kilimanjaro Baada ya ufuatiliaji ya mda mrefu kuhusu neno Kilimanjaro nimegundua kua neno kilimanjaro ni muunganiko Wa neno la kiswahili na kichagga ambapo neno la kiswahili lilitajwa kwa lafudhi ya kichagga neno hilo ni Kilima-Chyaro hii r inakidoti chini hivyo katika matamshi maana kubwa ilikua ni mtu yuko kwa mbali akiuona mlima alioshindwa kuutambua kwani kila...

Tuesday, April 10, 2018

Sunday, March 18, 2018

Calvin Lekule-Saying about life

Uwepo Wa mtu mrefu na umuhimu wake ni kwasababu ya mtu mfupi. Uwepo Wa tajiri unapimwa na uwepo Wa masikini. Faida ukiilinganisha na faida bado hujapata jibu mpaka awepo hasara. Ukitaka mfupi aishi kama mrefu unamuumiza mfupi 80% na mrefu, 20% na wewe uliyetaka iwe unakua mfupi...

Wednesday, January 17, 2018

Friday, January 5, 2018

Calvin lekule- Saying about life

Mwanaume anapodanganya kwenye mahusiano anadanganya kwa ajili ya tamaa ya kufanya mapenzi na kurudi ila mwanamke anapodanganya anadanganya ili akuache kabisa. ...