Monday, October 31, 2016

Sunday, October 30, 2016

Wednesday, October 26, 2016

Tuesday, October 25, 2016

MOUNTAIN RUNNER GAUDENCE Ni wa pili Tanzania Ni wa pili Africa Ni wa nne Duniani

MOUNTAIN RUNNER GAUDENCE
Ni wa pili Tanzania
Ni wa pili Africa
Ni wa nne Duniani



 Mountain runner Gaudence akisaini kuingia ndani ya hifadhi ya mlima kilimanjari kwenye lango la Umbwe Route
Kumbuka kuupanda mlima kilimanjaro minimum ni siku tano na maximum ni kuanzia siku 6 hata 7 hadi mpaka 12 na kuendelea kupanda na kushuka. 
Gaudence alipanda na kushuka mlima kilimanjaro kwa masaa 10 na sekunde 25 kwa kupitia njia ngumu kuliko zote Umbwe route na kushukia Mweka na ameweka rekodi ya kua mtu wa pili tanzania, na mtu wa pili afrika na mtu wa nne kidunia ni jambo zuri na ni historia nzuri katika nchi yetu je nani anaijua? Ni wachache sana wanaolifahamu hilo, Gaudence bado ana ndoto za kurudi tena ili apate nafasi ya chini kabisa kidunia, nawashukuru Activeferien na leopard tour kwa kumsurpot na wadau wote bila kumsahau Nick C mtangazaji wa kipindi cha michezo kili Fm kwa kushirikiana nasi. Tanzania nawakumbusha kuwasaidia vijana wanaoitangaza nchi yetu kimataifa.

SHUKRANI KWA WOTE WALIOMSAIDIA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUTIMIZA NDOTO YAKE
Gaudence akiwa na Nick C ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha michezo Kili Fm Redio

Gaudence akiwa ameketi faragha na Activeferien Team
na Leopard tour wakiongozwa na Evarest Lyamuya

       
                                                 Gaudence upande wa kulia na mdogo wake kushoto
                                                             wakati anashiriki mashindano ya 
                                                                    Kili Fm Marathon

Team ya Activeferien Campany wakiwemo baadhi ya wapagazi
chini ya Full Route Guide Calvin wakiwa tayari kutangulia kwenye baadhi ya vituo vya mlima kilimanjaro

Monday, October 24, 2016

CCM Majangili Wa Demokrasia

  
Na C. P Lekule
      CCM Majangili Wa Demokrasia
Ila muungano wa wanaokemea yaliyopo unaweza kutuweka huru tusimame kwenye ukweli hadi kufa.
Viongozi wa dini tanzania wengi ni wanafiki sana taifa likiwa kwenye magumu kama yaliyopo sasa hawatoi neno, MUNGU sema neno juu ya hawa watu wajue wajibu wao kwani wamejisahau sana, ila sadaka mbali mbali hawazisahau, wanajitoa ufahamu kwenye swala analofanya Raisi wa Tanzania, hawajali wanapalilia vita kali, kwa mwavuli wa amani wanafikiri hawawezi sema jambo juu ya uvunjwaji wa demokrasia unaotokea, kila siku nakaa chumbani natoa chozi hawa viongozi wa madhehebu mbali mbali wanaokaa kimya ilihali wanafahamu wajibu wao waangamie kwa namna yoyote Mungu atakavyoona inafaa, kwanzia uchaguzi kuisha niliwalaumu viongozi wa dini kutoa pongezi eti wamepata kiongozi ambaye ni chaguo la Mungu, wengi mlinifuata inbox na kunionya nisizungumze kuhusu viongozi wa dini ila sikuwajibu kitu niliwaacha mwisho wa siku mliniomba msamaha wenyewe, sasa leo tena nainuka kuwalaumu na kuwavika tatizo la taifa hili, msipo zungumza jambo mkangoja kuja kwenye misiba mkijifanya wanyenyekevu eti na mnahuruma litawapata jambo kwa unafiki wenu, wananchi wa kawaida wanapambana kuleta haki na usawa nyie mmekaa makanisani, misikitini kwanini, kwanini mnatusihi uoga ni dhambi ilihali nyie ni waoga?  Aliuwawa Mawazo hamkuona nae ni binadamu, wameteswa wengi mmekaa kimya, leo linaandaliwa la kuuwawa Malim Seif hamzungumzi, ila kwenye maandiko mnatuambia neno hugeuka mwili kivipi? Nawasifu sana watandania wazalendo wa nchi hii wanaokemea maovu waziwazi, kwa mfano mimi ningekua nampango wa kutawala
ningewaadhibu viongozi wa dini na kuwaburuza mahakamani, nafuatia wanasheria uchwara wote nafuta uanasheria wao ambao umeifikisha tanzania hapa waanze kusoma upya nafuatia kwa maprofesa hewa, madokta hewa wanaitwa madokta au maprofesa lakini akili hazitendi kwendana na hadhi walizonazo, nakuja Phd hewa vivyo hivyo, Naanza kua na mashaka na vyuo pia vinavyotoa hadhi ya Pr, Dk na phd nao ningewaandama sana, nisiseme mengi nchi hii majangili wa demokrasia wamekua wengi sana, na wanapikwa na serekali ya awamu ya tano.

Friday, October 14, 2016