
Na CP Lekule
Tatizo kubwa nimeliona,wenye macho ambao kwa bahati nzuri ni wengi zaidi ya vipofu, nao nadhani wameliona,wapo walioliona wakashindwa kulisema japo wanatamani kusema,wengine wanakuja chinichini nakutuombia tuseme sisi tuliojaliwa kutokua na dhambi ya woga kwa mtu bali...