Categories
Powered by Blogger.
Channels
Formulir Kontak
Blog Archive
-
▼
2016
(70)
-
▼
April
(30)
- Kambi ya upinzani bungeni kutoshiriki mijadaya kad...
- John Legend HD Swahili All of Me mp4 1
- SHIKAMOO TANZANIA 2028
- Mtazame Rais Magufuli alivyotangaza kutengua ukuu...

- FUll VIDEO: Harusi ya msanii Roma Mkatoliki kuanzi...
- Ilivyokuwa katika mazishi ya Ndanda Kosovo Dar
- ANGRY BIRD Attacks Tiger, Snake, Lizard, Man - Ama...

- 5 Most Shocking Animal Attacks Caught on Tape
- Animal Attacks On Human Compilation when animals...

- Extreme Animal Attacks Compilation - Most Amazing ...
- 15 CRAZIEST Animal Fights Caught On Camera #3 - Li...
- 10 Perfectly Timed Sports Photos
- 10 CRAZIEST Animal Fights Caught On Camera
- KABWE KWELI KWELI
- Nape alianzisha na Zitto aliamsha
- Uzinduzi wa daraja la kigamboni,pamoja na jipu KABWE
- Picha za daraja la MWALIMU NYERERE
- ROTARACT TANZANIA
- BIGEST HICKINGS ANIMAL JAM
- Animal
- EPSODE 1 UCHAGUZI CHUO CHA SANAA BAGAMOYO
- RAISI WA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO AKIAPISHWA
- MAKAMU WA RAISI WA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO AKIAPISHWA
-
▼
April
(30)
Label
Comments
Popular Posts
-
https://youtu.be/WagER5fWTNc
-
Sio mabaya ila yana walakini,fikiria kuondolewa kwa jina 1995 Lowasa akiw a ndani ya CCM 2015 jina likakatwa na je uwezo wa Asha Rose M...
-
HIVI NDIVYO WANASIASA WANAVYOFANYA NA BAADAYE WANAJINADI KIWA WANATOA MISAADA KWA JAMII. HIVI HUU NI MSAADA AU MATUSI HAYA. IKITOKEA M...
Ads
Random Posts
Pages - Menu
Newsletter
Saturday, April 23, 2016
Wednesday, April 20, 2016
KABWE KWELI KWELI
Rais John Pombe Magufuli
AKIHUTUBIA kwenye uzinduzi wa darala la Kigamboni jijini Dar es Salaam mchana huu, Rais John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Bw. Wilson Kabwe kutokana na ufisadi katika utekelezwaji wa mikataba mitatu, inayohusu maeneo ya ukusanyaji mapato ya Stendi Kuu ya Mabasi Yaendayo Mikoani ya Ubungo na kodi ya uegeshaji magari katikati ya jiji na kuisababishia serikali hasara ya pesa zaidi ya bilioni 3.
Rais Magufuli amechukua uamuzi huo mchana huu wakati wa uzinduzi wa daraja la Kigamboni, ambapo kabla ya Rais kuhutubia, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alitoa hotuba fupi ya maswala kadhaa ya Mkoa wa Dar es Salaam ikiwemo ripoti ya tume aliyounda kuchunguza utekelezwaji wa mikataba hiyo.

Makonda amesema kwamba, Kabwe alisaini mikataba miwili, wa 2004 na wa mwaka 2009 ambapo ule wa mwaka 2004 ulipelekwa jiji na ule wa 2009 ukapelekwa kwa mzabuni, hivyo jiji wanajua kuwa basi linatozwa sh. 4000 kwa siku wakati mzabuni anatozwa 8000 kwa sikuKutokana na maelezo hayo, Mheshimiwa Rais ametangaza kumsimamisha kazi bwana Kabwe ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam na ameagiza vyombo vya dola vianze uchunguzi mara moja ili hatua zaidi za kisheria ziweze kuchukuliwa
Subscribe to:
Posts (Atom)
Recent
Weekly