Saturday, October 24, 2015

Monday, October 19, 2015

Sunday, October 11, 2015

Tuesday, October 6, 2015

Sunday, October 4, 2015

Friday, October 2, 2015

Thursday, October 1, 2015

Taarifa zilizotufikia punde ni kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi Leticia Musori amesimamishwa uongozi ndani ya Chama hicho sababu ikiwa ni mvutano wake na Mwenyekiti Ndg James Mbatia.


Taarifa zilizotufikia punde ni kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi Leticia Musori amesimamishwa uongozi ndani ya Chama hicho sababu ikiwa ni mvutano wake na Mwenyekiti Ndg James Mbatia. 
Leticia tangu aongee na Waandishi wa habari pale Landmark hakurudi Ofisini. Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, Mosena Nyambabe, alirudi na kujitetea kwamba yeye alikuwa anatetea chama, na hakujua kama anatumika kama chambo na Chama kilimuelewa.

Vilevile mama Musori amepelekwa Polisi ili uchunguzi wa njama za kumuua Mbatia Ufanyike. Mbatia ndiye aliyeeenda kutoa Taarifa Polisi. .Lifunguliwa jalada Polisi Kawe Tarehe 19 Sept 2015 kwa RB namba KW/RB/9600/2015.

Kilimanjaro New CD


If you need Kilimanjaro CD please contact us No;-+255767679627

Goli la Mkono Hili Hapa

JE NI GOLI LA MKONO?
Lubuva alisema kuutakua na jumla ya vituo 72000 (sabin na mbili elfu) na kila kituo kina wapiga kura
450,ukizidisha jumla ni wapiga kura milion 32 na laki nne wakat kwa mujibu wa tume imeandikisha watu mil. 24+ kwa haraka haraka kuna vituo hewa zaid ya elfu ishirini , je hakuna dalilii za goli la mkono hapo??? Ni mtazamo wangu tu.

TANGANYIKA PACKERS


Habari wakuu,

Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA anaendelea na kampeni, leo yuko Dar es Salaam na kwa sasa yuko viwanja vya Tanganyika packers.
=========

Anaeongea kwa sasa ni Tundu Lissu na anaongelea utaratibu wa kukabidhi madaraka endapo watashinda kwa chama pinzani.

Mnyika: Anaongelea kauli ya NEC kuhusu kusema CHADEMA wanawapa tabu na anasema NEC ni shida. Anataka NEC waeleze ni lini wataalamu wa TEHAMA watakagua mfumo mzima. Anasema sasa hivi daftari limekuwa siri, anataka wataalamu wakakagua database ya tume, Lubuva anasema ni mara ya kwanza kusikia hili ombi wakati walilitoa Mbeya.

Mdee: Anasema kuna mchezo mchafu unachezwa na tume, anataka kutolewa ultimatum kwa kuweka majina daftari la uandikishaji, watu hawana hakika kama majina yao yatakuwepo na wasiadahike na kauli ya tume kwamba kila mwenye kitambulisho atapiga kura. Asante sana.

Anaeongea kwa sasa ni Taslima na anatoa nukuu za mwalimu Nyerere kuhusu uongozi wa Tanzania.

Mama Regina: Niwakumbushe jambo moja tu, kura yako ni haki yako, kura yako ni hatma yako, niombe kura kwa ajili ya mume wangu Edward Lowassa. Asanteni sana.