Taarifa zilizotufikia punde ni kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi Leticia Musori amesimamishwa uongozi ndani ya Chama hicho sababu ikiwa ni mvutano wake na Mwenyekiti Ndg James Mbatia.
Leticia tangu aongee na Waandishi wa habari pale Landmark hakurudi Ofisini. Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, Mosena Nyambabe, alirudi na kujitetea kwamba yeye alikuwa anatetea chama, na hakujua kama anatumika kama chambo na Chama kilimuelewa.
Vilevile mama Musori amepelekwa Polisi ili uchunguzi wa njama za kumuua Mbatia Ufanyike. Mbatia ndiye aliyeeenda kutoa Taarifa Polisi. .Lifunguliwa jalada Polisi Kawe Tarehe 19 Sept 2015 kwa RB namba KW/RB/9600/2015.

0 Comment to "Taarifa zilizotufikia punde ni kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi Leticia Musori amesimamishwa uongozi ndani ya Chama hicho sababu ikiwa ni mvutano wake na Mwenyekiti Ndg James Mbatia. "
Post a Comment