Thursday, May 3, 2018

Neno Kilimanjaro

Ugunduzi Wa neno Kilimanjaro
Baada ya ufuatiliaji ya mda mrefu kuhusu neno Kilimanjaro nimegundua kua neno kilimanjaro ni muunganiko Wa neno la kiswahili na kichagga ambapo neno la kiswahili lilitajwa kwa lafudhi ya kichagga neno hilo ni Kilima-Chyaro hii r inakidoti chini hivyo katika matamshi maana kubwa ilikua ni mtu yuko kwa mbali akiuona mlima alioshindwa kuutambua kwani kila baridi ilipoongezeka seluji nayo iliongezeka na kuufanya mlima kuonekana mrefu hivyo ikapelekea mtu kusema kilima-kyaro, kyaro maana yake kinaota au kinarefuka au kinazidi kukua yaani Kilima kinaota mzungu akashindwa kutamka na kusema Kilimanjaro by C.P Lekule