
Uwepo Wa mtu mrefu na umuhimu wake ni kwasababu ya mtu mfupi.
Uwepo Wa tajiri unapimwa na uwepo Wa masikini.
Faida ukiilinganisha na faida bado hujapata jibu mpaka awepo hasara.
Ukitaka mfupi aishi kama mrefu unamuumiza mfupi 80% na mrefu, 20% na wewe uliyetaka iwe unakua mfupi...